Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUFANYA TATHMINI YA ELIMU NCHINI

0
OR - TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe ameungana na timu ya Ufuatiliaji wa Kisekta,...

SERIKALI YATOA WITO KWA WADAU WA AFYA KUTATUA CHANGAMOTO YA WATUMISHI SEKTA YA AFYA

0
Na Mwandishi wetu - New York, Marekani Serikali kupitia Wizara ya Afya, imewataka Wadau wa Sekta ya Afya kuimarisha ushirikiano ili kutatua changamoto zinazokabili eneo...

TAASISI YA MWALIMU NYERERE YAKUTANISHA WADAU WA SIASA

0
Na Magreth Mbinga Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba amevitaka vyama vya siasa Nchini Tanzania wanapozungimzia mfumo wa vyama vingi wazungumzie mambo...

WANANCHI WALIOPATIWA VOCHA ZA VIWANJA WATAKIWA KULIPIA MAPEMA ILI KUPATA HATI

0
WANANCHI ambao wamepatiwa vocha za viwanja Mkoa wa Tanga wamekumbushwa kulipia viwanja hivyo ili wapatiwe hati kwa haraka ili kuepusha mrundikano kwakuwa huduma ya...

CCM TANGA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI

0
Na Paskal Mbunga, Tanga. CHAMA cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga kimewakaribisha wawekezaji wanaotaka kuwekeza maeneo mbalimbali ya kibiashara yanayomilikiwa na Chama hicho mkoani hapa kwa...

WAZIRI MKUU ATAKA NGUVU ZAIDI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wadau wote wa uwezeshaji wananchi kiuchumi waongeze nguvu katika kutoa huduma za uwezeshaji hasa maeneo ya pembezoni ya miji...

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI WAHAMASISHE MASOKO, UWEKEZAJI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa...

WAZIRI NDALICHAKO ATAKA UKARABATI WA CHUO UENDANE NA THAMANI YA FEDHA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameelekeza viongozi wanaosimamia ukarabati wa Chuo...

ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA TANO (500) ZIMEKUSANYWA UPITIA HALMASHAURI NA MABARAZA YA MIJI

0
Zaidi ya shilingi Milioni mia tano (500) zimekusanywa kupitia halmashauri na mabaraza ya miji kwa ajili ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kupitia mikopo nafuu isiyo...

GLOBAL FUND YAUNGA MKONO SERIKALI KUKABILIANA NA MAGONJWA NCHINI.

0
Na mwandishi wetu- Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaguzi kutoka...