WANANCHI TANGA WASIFU UWEKEZAJI KWENYE KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Katika kuhakikisha Kilimo cha Umwagiliaji kinamkomboa mkulima Mkoani Tanga pamoja na Wilaya zake, Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan...
VIONGOZI WETU WANAMATUMAINI NA MICHEZO YA FEASSSA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanamatumaini makubwa kuwa mashindano ya shule za msingi na Sekondari za Afrika Mashariki...
VIJANA 12,000 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA-MHE. NDALICHAKO
Vijana zaidi ya 12,000 katika halmashauri 117 Mikoa 17 wamenufaika na mafunzo ya Kilimo cha Kisasa kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba.Serikali kupitia Ofisi...
RAIS SAMIA ANAVYOIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA VITENDO
Na Mwl Udadis, Temeke
Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama...
MRADI WA MAJI WA SH.BILIONI 4.3 WASAINIWA KATA YA PWAGA JIMBO LA KIBAKWE
Na mwandishi wetu.
Wananchi wa kata ya Pwaga wanatarajia kuanza kunufaika na mradi mpya wa maji baada ya serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi...
MIAKA MINNE YA ALEXANDER KEKI ASHEREHEKEA NA WATEJA WAKE KUONJA KEKI BURE
VIJANA watakiwa kujikita katika nguvu kazi ya mikono yao kupata vipato vya halali ili kuepuka uhalifu na uharamia unaosababisha majanga kwa jamii na taifa...
NMB KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI 100.
Na Elizabeth John,Njombe.
Benki ya NMB imekuja na mpango wa kufadhili masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi 100 wanaotoka mazingira magumu ambao wanafanya vizuri...
SAKATA LA PANYA ROAD DSM: DC NYANGASA AWATAKA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WANAOWAHISI
DC Nyangasa awataka wananchi kutoa taarifa za wanaowahisi zifanyiwe uchunguzi , atoa namba maalum
-Awatahadharisha vijana kutojihusisha na vikundi vya uhalifu
Ahimiza ulinzi shirikishi
Mwenyekiti wa kamati...
BASHUNGWA ASISITIZA SHULE KUWA NA HATIMILIKI YA ARDHI KABLA YA DISEMBA 30.
Na OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewasisitiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote...
UREJESHO TV YAWA MFUMO BORA WA MAWASILIANO YA KULITANGAZA NENO LA MUNGU AFRIKA
Na.Khadija Seif, Mzawablog
KATIKA kuunga mkono jitihada za serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Kanisa la RGC Miracle Centre linatarajia kufanya tamasha la muziki...













