Home Kitaifa NMB KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI 100.

NMB KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI 100.

Na Elizabeth John,Njombe.

Benki ya NMB imekuja na mpango wa kufadhili masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi 100 wanaotoka mazingira magumu ambao wanafanya vizuri katika masomo yao ikiwa ni njia moja wapo za kusaidia jamii.

Hayo yamesemwa na mkuu wa idara ya huduma na biashara za serikali NMB Vicky Bishubo,katika uzinduzi wa Mwalimu Spesho iliyofanyika mjini hapa.

Kwa upande wa mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka,amesema uwepo wa Mwalimu Spesho kupitia benki ya Nmb utasaidia janga la walimu kutapeliwa mara kwa mara na watu au taasisi zenye riba kubwa.

Previous articleSAKATA LA PANYA ROAD DSM: DC NYANGASA AWATAKA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WANAOWAHISI
Next articleMIAKA MINNE YA ALEXANDER KEKI ASHEREHEKEA NA WATEJA WAKE KUONJA KEKI BURE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here