Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

SIKU MOJA TU, TAKRIBANI 17.13% YA KAYA NCHI NZIMA ZIMESHAHESABIWA

0
Na Magrethy Katengu Takribani asilimia 17.13 ya kaya tayari zimeshahesabiwa siku ya Agosti 23 ambapo zoezi hilo linaendelea vizuri huku likivuka lengo ambalo llilowekwa la...

RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29.

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29...

AFISA MIPANGO MIJI MBARONI KWA KUDAIWA KUMBAKA MTOTO

0
Na Neema Hussein, KATAVI Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Mpimbwe Dickson Mwenda (37) kwa tuhuma za kudaiwa kumbaka...

WIZARA, WADAU KUTATUA TATIZO LA WATOTO MITAANI

0
Na WMJJWM Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha inapunguza tatizo la...

MHE. MAJALIWA AMETOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KUHESABIWA NA KUTOA TAARIFA KWA MAKARANI WA...

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  Agosti 23, 2022  amehesabiwa na kutoa majibu ya dodoso kuu la Sensa ya Watu na Makazi katika Makazi yake ya Kijiji cha...

RC MGUMBA ATEMBELEA KANISA WADIVENTISTI WASABATO TANGA.

0
Na Boniface Gideon, TANGA Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omar Mgumba Leo amefanya ziara ya kutembelea Kanisa la Waadventist Wasabato Kana Jijini Tanga kwaajili ya...

MBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI MHE. TARIMBA ABBAS AMETOA KADI ZA BIMA KWA WENYEVITI...

0
Mbunge wa Jimbo la kinondoni Mhe. Tarimba Gulam Abbas ametoa kadi za bima kwa wenyeviti wa mashina zitakazoweza kuwasaidia katika matibabu hadi pale atakapoachia...

LUSHOTO YAPATA KITUO KIPYA CHA POLISI BAADA YA MIAKA 193.

0
Na Boniface Gideon, LUSHOTO KITUO Cha Polisi Cha Kwanza kujengwa Nchini Tanzania Kilikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga ilikuwa ni mwaka 1829 na mpaka Leo hii...

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO

0
Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umetunukiwa tuzo katika maonesho ya Kumi na Tano ya 15 ya Sanaa (15th International Arts and Crafts Expo) yaliyofanyika...