Home Kitaifa MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUHESABIWA

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUHESABIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuhesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 katika shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!