Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

NSSF YAFADHILI MFUMO WA TAARIFA ZA DIASPORA

0
Na Magrethy Katengu Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wameingia makubaliano kufadhili...

MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA WAILALAMIKIA TFS KWA KUWAKAMATA WAJASIRIAMALI.

0
Na Lilian LugakingiraBUKOBA. Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamemlalamikia Wakala wa Mistu Tanzania -TFS- kwa kuwakamata wajasiriamali wadogo wanaouza mkaa ndani...

WFP YAKABIDHI VIFAA VYA MAWASILIANO KWA OFISI YA WAZIRI MKUU.

0
Na Mwandishi wetu-Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Mhe. Ummy Nderiananga amepokea vifaa vya mawasiliano vitakavyotumika katika kukabiliana na...

TANZANIA KUENDELEA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE

0
Na. WAF - Dar es Salaam Wizara ya Afya imeendelea na mpango mkakati wa kusambaza kingatiba kwa wananchi wote ili kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele...

WAGONJWA 1500 WAFANYIWA UPASUAJI NA MADAKTARI BINGWA WA MOI MKOANI LINDI

0
Na Mwandishi Wetu, Wagonjwa zaidi ya 1,500 wamefanyiwa upasuaji na madaktari bingwa wa MOI katika hospitali ya Nyangao Mkoani Lindi katika kipindi cha miaka mitatu...

DC KALAMBO AHIMIZA WANANCHI KUTOA TAARIFA SAHIHI KWENYE ZOEZI LA SENSA

0
Na Mwandishi Wetu, Kalambo. Mkuu wa Wilaya ya Kalambo iliyopo Mkoani Rukwa, Mhe Tano Mwera ameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi huku akitaka...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUKABILI MAAFA.

0
Na Mwandishi wetu- Dodoma Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika mapambano dhidi ya maafa ambayo hujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini na kusababisha...

WAZIRI BASHUNGWA ATETA NA CHALAMILA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu...

WADAU WACHANGIA SH. BILIONI 1.26 KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

0
WADAU wa michezo nchini wamechanga jumla ya sh. bilioni 1.26 ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuzisaidia timu za Serengeti...

FRANCIS MASANJA CHICHI AMEWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUMUUNGA MKONO MHE RAIS SAMIA

0
Diwani mstaafu wa Kata ya Somangira Mhe. Francis Masanja Chichi amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Mhe Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya. ameyasema hayo kwenye...