WAZIRI SIMBACHAWENE: MZEE KUSILA AMEFANYA MAMBO MENGI YA KUIGWA.
Na mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema Mzee William Kusila alipenda kuona viongozi wanazingatia miiko,...
OMBI LATOLEWA KUSAIDIA JAMII HUSUSANI HUDUMA ZA KIAFYA
Na Magrethy Katengu
Taasisi za kiserikali na zisizo za kiserili zimeombwa kujitokeza kusaidia changamoto zinazoikabili Jamii hususani katika kiafya kwani walio wengi hukabiliwa na changamoto...
WASHINDI WAIBUKA KIDEDEA KATIKA KAMPENI YA M-PESA IMETIKI
Na Magrethy Katengu
Kampuni ya line simu za mikononi Vodacom imeishukuru serikali kwa kufanya mabadiliko ya tozo ya miamala ya kutuma fedha na kutoa kwa...
JUMUIYA ZA WAFANYABIASHARA WA IRAN NA ZANZIBAR WAKIBADILISHANA UZOEFU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe Mudrik Ramadhan Soraga akizungumzia katika jukwaa la kibiashara baina ya Jumuiya za wafanyabiashara...
MKUU WA WILAYA YA TEMEKE JOKATE MWEGELO AMEWATOA HOFU WAKAZI WA WILAYA HIYO
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo amewatoa hofu wakazi wa wilaya hiyo ambao hawajahesabiwa hadi sasa kuwa watahesabiwa ndani ya...
TARURA YASHAURIWA KUACHA UJENZI WA BARABARA ZA UZITO WA TANI KUMI
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kuachana na ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye uwezo wa kubeba magari yenye...
WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA WAHIMIZWA KUJISAJILI KATIKA BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA.
Na. Waf. Morogoro
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye amewahimiza waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kuzisajili dawa na vituo...
BARAZA MAALUMU MANISPAA YA UBUNGO LIMEMFUKUZA MTUMISHI MMOJA WA IDARA YA UHASIBU
Baraza maalumu la manispaa ya ubungo limemfukuza mtumishi mmoja wa idara ya uhasibu Edga Msuya kwa makosa aliyoyatenda.
Hayo yamesemwa kwenye kikao maalumu kilichofanyika luguruni...
ONYESHO LA PHARMATECH EAST AFRIKA KUKUTANISHA MAKAMPUNI 100 YA DAWA NA VIFAA TIBA DAR
Na Andrew Chale, Dar es Salaam. MAKAMPUNI 100 kutoka nchi mbalimbali duniani, yanatarajiwa kushiriki katika maonyesho makubwa ya famasia yanayofahamika kama ‘Pharmatech East Africa’ yatakayofanyika...
WAZIRI MKUU AWASILI TUNISIA KUHUDHURIA MKUTANO WA TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili Tunisia leo (Ijumaa Agosti 26, 2022) na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Najla Bouden Romdhane katika...













