Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 May

Monthly Archives: May 2023

MSTAHIKI MEYA, VIJANA, TEMEKE

MSTAHIKI MEYA ASISITIZA VIJANA WA TEMEKE KUSAIDIWA KIBIASHARA

0
Na Mwandishi Wetu Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imesisitizwa kusaidia vijana wa Wilaya ya Temeke ili waweze kurasimisha biashara zao. Kauli hiyo imetolewa...

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUVIJENGEA UWEZO VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA SARUJI

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) akizungumza na wazalishaji na wasambaji wa saruji nchini, alipokutana nao leo Mei 21,...
RAIS, DKT, MWINYI

RAIS DKT. MWINYI KUSHIRIKI JUKWAA LA KIMATAIFA LA TATU LA UCHUMI NCHINI QATAR

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar leo tarehe 21 Mei 2023 kuelekea nchini Qatar kumwakilisha...
MUWASA, BOMBA, MAJI

MUWASA YAPOKEA BOMBA KUSAMBAZIA MAJI MITAA SABA

0
Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imepokea bomba kwa ajili ya usambazaji maji mitaa 7 ya pembezoni. Zoezi la...
HUDUMA, NBC, CONNECT

HUDUMA YA NBC CONNECT YAZINDULIWA RASMI KANDA YA ZIWA

0
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bulandya Elikana, akizungumza na wateja wa benki ya NBC wakati wa kuzindua huduma ya NBC Connect kwa kanda...

WANANCHI MUSOMA WAMTUMA MBUNGE MATHAYO KWA RAIS SAMIA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa jimbo la Musoma mjini wamemtuma mbunge wao kumfikishia shukrani Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan, salamu za shukrani kutokana na miradi...

WMA MARA YALIZISHWA NA MATUMIZI YA MIZANI MASOKONI

0
Na Shomari Binda-Butiama WAKALA wa vipimo mkoa wa Mara (WMA) imeonyesha kuridhishwa na matumizi ya vipimo vinavyotumika kwenye uuzaji wa bidhaa mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na...
WMA, MARA, MATUMIZI

WMA MARA YALIDHISHWA NA MATUMIZI YA MIZANI MASOKONI

0
Na Shomari Binda-Butiama WAKALA wa vipimo mkoa wa Mara (WMA) imeonyesha kulidhishwa na matumizi ya vipimo vinavyotumika kwenye uuzaji wa bidhaa mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na...
NCHI, KUSHIRIKI, MAONYESHO

NCHI 14 ZATHIBITISHA KUSHIRIKI MAONYESHO YA 47 YANAYOTARAJIWA KUFANYIKA SABASABA DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Maendeleo ya biashara Tanzania (TanTRADE) imesema maonyesho ya mwaka huu yatakuwa ya kipekee sana kwani jumla ya nchi 14 zimethibitisha...
TMRC, HATI, FUNGANI

TMRC YAORODHESHA HATI FUNGANI ( BOND ) SOKONI AWAMU YA NNE

0
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa deni la Taifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bwn. Japhet Justine ( katikati ) akigonga kengere kuashiria...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA