WAZIRI DKT. PINDI APOKEA TAARIFA HITILAFU YA UMEME UWANJA WA MKAPA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 6, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati...
WIZARA ZA ELIMU NA UTAMADUNI ZIWASAIDIE VIJANA KUMFAHAMU ZAIDI MWL. NYERERE – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia na ile ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ziandae utaratibu utakaosaidia vijana kujifunza na...
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI IKULU YA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Rais...
PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BUJUMBURA BURUNDI LEO MEI 06
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo...
SERIKALI INAENDELEZA JUHUDI ZA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA-WAZIRI UMMY
Na. WAF - Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendeleza juhudi za kupunguza viwango vya vifo vya wajawazito na watoto wachanga kwa kuzingatia...
Wasafirishaji wa Vifurushi na Vipeto watakiwa kurasimisha kwa kuwa na leseni
*Ni Kampeni ya TUMA CHAP ya TCRA
Na Mwandishi Wetu Mbeya
Wasafirishaji wote wa vifurushi na vipeto wanaofanya kazi katika kanda ya nyanda za juu kusini...
VIJIJI 3 VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME MUSOMA VIJIJINI KUPATA MAJI YA BOMBA HIVI...
Na Shomari Binda-Musoma
VIJIJI 3 vya Bwasi,Bugunda na Kome vilivyopo Kata ya Bulinga jimbo la Musoma vijijini vinatarajiwa kupata maji ya bomba kutoka ziwa victoria...
SWEDEN YAONESHA NIA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA NCHINI
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Sweden kwa misaada mbalimbali iliyoweka alama chanya katika maendeleo...














