BENKI YA CRDB, CARE INTERNATIONAL KUWAINUA WANAWAKE KUPITIA PROGRAMU YA IMBEJU
Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na Shirika la Care International kuwawezesha wanawake kupata mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa biashara, usimamizi...
MAWAZIRI 3 WAHITIMISHA ZIARA MARA KWA KUTOA MAELEKEZO
Na Shomari Binda-Serengeti
MAWAZIRI 3 wa kisekta wamemaliza ziara yao ya siku 2 mkoani Mara kwa maagizo ya serikali kwa kutoa maelekezo kwa wananchi kuzingatia...
SHULE YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM YA BUHANGIJA YAPATA MSAADA WA DOLA 10,000
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu,Cheick Sangare (wa pili kutoka kulia),akimkabidhi msaada wa hundi ya dola 10,000 kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya...
MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Mheshimiwa...
AJIKATA SEHEMU ZA SIRI AKIDAI KUCHOSHWA NA UGONJWA ZAIDI YA MIAKA MITANO
Maiko samweli (32 ) anadaiwa kujikata na kuzinyofoa sehemu zake za Siri Kwa Madai ya kuchoshwa na Maradhi yanayomsumbua ambayo hayakuwekwa wazi.
Mkazi wa Kijiji...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO NCHINI BURUNDI MAY 06
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 06 Mei 2023 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
SERIKALI: ZOEZI LA UWEKAJI MIPAKA HIFADHI YA SERENGETI LILIKUWA SAHIHI
Na Shomari Binda-Tarime
SERIKALI imesema kuwa zoezi la uwekaji wa vigingi vya alama ya mipaka kwenye vijiji Saba vya Wilaya ya Tarime vinavyopakana na Hifadhi...
TEKELEZENI MAJUKUMU KUINUFAISHA SERIKALI
Watumishi wapya wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) wametakiwa kutumia elimu waliyoipata na fursa ya ajira ya Serikali kutekeleza majukumu yao kwa...
DC JOKATE, WAFANYABIASHARA, WAKULIMA MKONGE KOROGWE WAONA FURSA BANDARI YA TANGA
Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo ameongozo jopo la Wafanyabiashara na Wadau wa Maendeleo zikiwemo Benki mbalimbali pamoja na...















