Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023 May

Monthly Archives: May 2023

SERIKALI KUSHIRIKISHA WANANCHI KUHUSU KUONDOLEWA KWA KIJIJI CHA NGARESERO KWENYE PORI TENGEFU LA POLOLET,...

0
Serikali imesema kuwa itashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron...
UVCCM MKOA, TANGA, VIJANA

M/KITI UVCCM MKOA TANGA AWAFUNDA VIJANA KUTUMIA FURSA ZA KILIMO MATI MLINGANO

0
Na Boniface Gideon, MUHEZA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Ramadhan Omary leo aliongoza ziara ya kamati ya Utekelezaji...
BOMBOKO, Wazazi, Kutambua

DC BOMBOKO Ahimiza Wazazi Kutambua Wajibu Wao Katika Kumlea Mtoto

0
Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeadhimisha Siku ya Familia Duniani wilayani hapo kwa kufanya mdahalo uliowahusisha viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, Wananchi na Wanafunzi...

DC. KHERI JAMES AHIMIZA UMAKINI ZAIDI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI.

0
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Mhe. Kheri James amewataka wahandisi na Idara ya ujenzi kwa ujumla kuongeza umakini katika usimamizi wa miradi,ili kuhakikisha thamani...

DC SAMIZI ATAKA FAMILIA ZIVUNJE UKIMYA VITENDO VYA UKATILI MAADHIMISHO YA SIKU YA FAMILIA...

0
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi  Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imeadhimisha Siku ya Familia Duniani katika...
RAIS, SAMIA, WAKUU

RAIS SAMIA AHAMISHA WAKUU WA MIKOA WANNE

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Uhamisho wa baadhi ya wakuu wa Mikoa; Mwanza, Morogoro,  Kagera na...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA

0
https://youtu.be/FBLEtA4LJVk *Majaliwa aagiza kuondolewa kwa kikosi kazi ‘Task Force’ ya Mamlaka ya Mapato Tanzania. Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO, KUENDELEA

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA

0
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali...
TIGO, MKATABA, MAWASILIANO

TIGO WASAINI MKATABA KUPELEKA MAWASILIANO KATA 371 , AWAMU YA NANE

0
Na Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo imesaini  mkataba mpya wa awamu ya 8 wa kufikisha huduma...

Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo

0
Na Jacquiline Mrisho -   MAELEZO Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka  Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA