TIGO YASHIRIKIANA NA BOOMPLAY KUIMARISHA USIKILIZAJI WA MUZIKI KIDIJITALI TANZANIA
Kampuni inayoongoza kwa huduma za mawasiliano nchini Tanzania, Tigo, leo imetia saini na kutangaza ushirikiano wa kimkakati na App namba moja barani Afrika, Boomplay,...
BILIONI 12 KUBORESHA BARABARA ZA TARURA RUKWA
Na. OMM Rukwa
Serikali ya Awamu ya Sita imeupatia mkoa wa Rukwa shilingi Bilioni 12 kwa ajili ya ujenzi na matengenezo ya barabara chini ya...
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR INAFANYA JUHUDI MBALI M ALI KUPAMBANA NA TATIZO LA...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi mbali mbali za kupambana na tatizo la ajira nchini hasa kwa vijana
Ameyasema hayo Waziri wa Nchi, Afisi...
FEDHA ZA TOZO ZINAVYOTEKELEZA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO MWANZA.
Waigizaji na Wasanii mbalimbali mkoaniMwanza, wamesema wanaunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya sita kwenye ukusanyaji wa tozo na wao wako tayari kulipa...
TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA WANAWAKE MCHEZO WA GOFU
Na Magrethy Katengu
Tanzania imekuwa mwenyeji wa wa Mashindano ya wanawake mchezo wa Gofu Bara la Afrika ulihudhuriwa na nchi mbalimbali 21 ikiwemo Mali,Morocco,Botswana,Afrika kusini,Zambia,Uganda
Akizungumza...
MATAIFA YA AFRIKA YANAPASWA KUWEKA SERA RAFIKI KATIKA SEKTA YA KILIMO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema ili kuharakisha mabadiliko katika mfumo wa Chakula, Mataifa ya Afrika yanapaswa...
TARURA YAONDOA KERO YA WANANCHI SAME KWA KUFUNGUA BARABARA MPYA
Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya...
WAZIRI MABULA ATAKA HATUA ZA KINIDHAMU ZICHUKULIWE KWA WATUMISHI WASIO NA NIDHAMU
Na Magreth Mbinga
Watumishi wa umma wametakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ambapo kumekuwa na kutoheshimiana baina ya viongozi na wanaowaongoza pamoja na kuogopa kubeba dhamana...
BUMBULI YAVUKA LENGO, YACHANJA WATOTO 33,159
Na Yusuph Mussa, Bumbuli
HALMASHAURI ya Wilaya Bumbuli (Bumbuli DC) mkoani Tanga, imevuka lengo la uchanjaji chanjo ya ugonjwa wa polio kwa watoto chini ya...
FEDHA ZA TOZO NDIO ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO-STEVE NYERERE
Na Magrethy Katengu
Msanii wa Bongo Movie Steve Mengele" Steve Nyerere" amewasihi Watanzania kuendelea kuchangia kodi kupitia tozo za miamala ya benki na simu kwa...













