Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

WAZIRI MKUU AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitakubaliana na mtumishi yeyote atakayehusika na matumizi mabaya ya fedha za umma, hivyo amewasisitiza viongozi wazisimamie vizuri ili...

TANZANIA YASHIRIKI  KWENYE MKUTANO WA MASWALA YA HALI YA HEWA NA USIMAMIZI WA MAAFA...

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri...

SERIKALI YAONDOA SHARTI LA ULAZIMA WA KUVAA BARAKOA

0
Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Kutokana na hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kuendelea kupungua hapa nchini na Dunian kote, Serikali...

WAZIRI AWESO AHIMIZA TANGA-UWASA KUBAKI KWENYE UBORA WAKE

0
Na.Boniface Gideon, TANGA Waziri wa Maji mh.Jumaa Aweso ameitaka bodi mpya ya Mamlaka ya maji Tanga-Uwasa kuhakikisha mamlaka hiyo inasonga mbele kwa kuweza kuendelea kubaki...

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAIPONGEZA WIZARA YA ELIMU.

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Kamati ya Huduma na Maendeleo ya jamii imempongeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda kwa kusimamia kwa...

RC MAKALLA AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MABORESHO SEKTA YA AFYA KUPITIA FEDHA ZA TOZO.

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya hususani Ujenzi...

SHAKA ATOLEA UFAFANUZI MAADHIMIO AMBAYO YAMEFIKIWA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU TAIFA

0
Na Magreth Mbinga Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ilipokea na kujadili taarifa mbalimbali juu ya utendaji wa Chama sambamba na utendaji wa Serikali...

WAZIRI BASHUNGWA APIGA MARUFUKU WALIMU KUPITA KILA OFISI YA HALMASHAURI KUTAFUTA HUDUMA.

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri...

NORWAY YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI.

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MASHINDANO YA DUNIA YA UREMBO KWA VIZIWI

0
TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo (Miss & Mister Deaf) kwa watu wenye matatizo ya kusikia ‘Viziwi’. Mashindano...