Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

AWESO AMUONDOA MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAJI.

0
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru...

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA KITAIFA WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

0
Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa...

MBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI MHE. ABBAS TARIMBA AKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA...

0
NA ABRAHAM NRAMBARA MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni (CCM) wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam Abbas Tarimba amekabidhi Kadi za Bima ya Afya kwa Wajumbe...

RAIS SAMIA-UWANJA WA MAJALIWA UTAKUWA CHACHU KATIKA KUKUZA SEKTA YA MICHEZO

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewapongeza wananchi wa wilaya ya Ruangwa  kwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa...

MHESHIMIWA DKT. PHILIP MPANGO AMEIAGIZA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI KUHAKIKISHA INAKAMILISHA HARAKA BARABARA...

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha inakamilisha haraka barabara ya...

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. PHILIP MPANGO AWASILI...

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya leo...

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ANATARAJIWA KUFUNGUA MKUTANO...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kesho septemba 13, 2022 anatarajiwa kufungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara...

RC MGUMBA ATAKA MSAKO MITAANI WATOTO WALIOKATISHA MASOMO

0
Na Mwandishi Wetu, TANGA. Mkuu wa mkoa wa Tanga Omari Mgumba amewaagiza wakurugenzi , wasimamizi wa Elimu kwa kushirikiana na viongozi wa kata na vijiji...

MHE. KIGAHE AWATAKA WMA KUFANYA UKAGUZI WA MIZANI MARA KWA MARA ILI KUEPUSHA MIGOGORO...

0
Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amewataka wakala wa Vipimo Mkoani Mtwara kukagua Mizani yote ambayo itatumika katika mauzo...

RWAKATALE: TUWAJALI WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI WAKIWEMO YATIMA

0
Na Magrethy Katengu Jamii, taasisi za serikali, binafsi na mashirika mbalimbali yameombwa kujali kundi la watoto waishio mazingira hatarishi kwa kuwajali kwa namna yeyote kwani...