EPZA YAONESHA NEEMA UWEKEZAJI ZAO LA KOROSHO KWA WAWEKEZAJI
Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya biashara Kwa kupunguza viwango vya kodi Ili kusaidia kuvutia Wawekezaji hasa katika zao la korosho na thamani...
WAZIRI PROF MAKAME MBARAWA AZINDUA BODI MPYA YA TBA
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa ameiagiza bodi mpya ya ushauri ya Wakala wa Majengo Nchini( TBA)kumshauri Waziri huyo pamoja...
NAIBU WAZIRI SAGINI ATEMBELEA KITUO CHA POLISI KEGONGA, AKUTA ASKARI WAPO KITUONI.
Na Mwandishi wetu, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea na kukagua Kituo cha Polisi Kegonga kilichopo, Kijiji cha Kegonga, Wilaya...
RAIS MUSEVENI AWASILINI TANZANIA//WAZIRI MKENDA AMPOKEA
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Musevani leo tarehe 21 Julai 2022 amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
TMA YATOA TAHADHARI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA:
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imewataka watu wote kuendelea kuchukua tahadhari kuhusu na ushauri na utabíri unaotolewa na TMA...
ZOEZI LA SENSA SI LA KISIASA BALI KISHERIA- RC MKIRIKITI
Na. OMM Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti amewataka wajumbe wa kamati ya sensa ya mkoa kuhakikisha wananchi wengi wakiwemo wenye ulemavu wanapata...
WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT BARNABA MARIEL
Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) Leo tarehe 20 Julai 2022 amempokea Waziri wa Mambo ya Rais wa Sudani...
TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARA YA MADINI: WAZIRI BITEKO
SERIKALI imepanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya madini kwa kuvutia wawekezaji wengi duniani kuja kuwekeza katika sekta hiyo na kufungua fursa nyingi...
YUHOMA EDUCATION LIMITED INATOA USHAURI KUENDANA NA SOKO LA AJIRA
Na Magreth Mbinga
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya YUHOMA EDUCATION LIMITED Yusuph Yahaya ambayo inashughulika na utoaji wa ushauri wa elimu kwa wanafunzi wasome nini,wasome...













