Sunday, June 28, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

BENKI YA CRDB YAWASHUKURU WATEJA WAKE KWA KUIWEZESHA KUSHINDA TUZO HII KUBWA.

0
Benki ya CRDB imewashukuru wateja na wadau wake baada ya kutunukiwa tuzo ya “Benki Bora Tanzania” na jarida maarafu la masuala ya fedha na...

WAZIRI SIMBACHAWENE AKAGUA MAANDALIZI YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA:

0
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene pamoja na Kamati Tendaji ya maandalizi ya Maadhimisho...

WAZIRI NDALICHAKO ATAKA MIFUKO YA PENSHENI KUVUNJA KUTA ZILIZOPO OFISINI KWAO

0
Na Magreth Mbinga Waziri wa kazi,vijana na walemavu Mh Joyce Ndalichako leo Julai 22 amekutana na wastaafu ili kusikiliza kero zao ambazo wanakumbana nazo wakati...

DKT. FRANCIS AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI HESLB.

0
Na Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya...

HUDUMA YA MAJI KATAVI KUPATIKANA KWA UHAKIKA-MHE.MARYPRISCA MAHUNDI

0
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi kuwa serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi...

WAZIRI BITEKO ASISITIZA MIRADI YENYE MADINI MKAKATI KUENDELEZWA

0
Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye...

MAMA MSHASHU ATEMBELEA SHULE YA MUBABA KUFUATIA AJALI YA MOTO ULIOUNGUZA BWENI.

0
Tabasamu limeanza kurejea kwa Wanafunzi wa Kike Shule ya Sekondari Mubaba iliyopo Biharamulo baada ya Watu mbalimbali kufika Shuleni hapo na Kuwafariji kufuatia Ajali...

WAZIRI NDALICHAKO AAGIZA SABABU ZA MKANDARASI KUONGEZA MUDA WA UJENZI KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI...

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, ameiagiza Bodi ya Kiwanda Cha Sukari Cha...

SERIKALI YAJA NA MKAKATI WA KUTANUA WIGO WA SOKO LA KOROSHO:

0
Katika kuhakikisha wigo wa masoko katika zao la Korosho unatanuka katika mataifa mbalimbali Duniani, Serikali ya Tanzania imeweka mikakati kuhakikisha zao hilo linaendelea kufanya...