#SensaBika: MASTAA WA SOKA, MUZIKI, FILAMU KUMUUNGA MKONO MAMA SAMIA NA SENSA
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amezindia Programu Kabambe ya Wizara hiyo kutumia wadau wake wa Utamaduni, Sanaa...
WAZIRI MKENDA ATEMBELEA HOSPITALI YA HURUMA-ROMBO//AWAHAKIKISHIA UPATIKANAJI VIFAA TIBA
Na Mathias Canal, Rombo
Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda tarehe 20 Julai...
MHE.AWESO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA EXIM BANK YA INDIA.
New Delhi, India*
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kuzungumza na Ms. Harsha Bangari, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya India
Kikao...
VIJANA MNAONENDA KUSOMA NJE YA NCHI MTUMIE FURSA YA KURUDI NA WAWEKEZAJI SIO VYETI...
Na Magrethy Katengu
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Kampuni Global Education Link Abdumalik Mollel amewashauri Wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya nchi wahakikishe wanatumia fursa hiyo vizuri...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA AJIRA KWA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU HURIA MWENYE ULEMAVU WA...
Na Magreth Mbinga
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa amekipongeza Chuo Kikuu hHuria cha Tanzania kupitia kitengo cha teknolojia kwa...
WAZIRI NDALICHAKO: SERIKALI KUJENGA VITUO VITANO VYA KULEA UJUZI WA VIJANA NCHINI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kwa mwaka wa fedha 2022/23, serikali...
SERIKALI KUPITIA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) YAPOKEA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHI YA...
Serikali kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) yapokea ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchi ya falme za kiarabu ya Oman ambao wamekuja nchini kuangalia maeneo...
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KIKUBWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Na Magreth Mbinga
Mkurugenzi wa shahada za awali Dodoma (UDOM) Dk Victor George Marealle amesema chuo hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kilianza mwaka...
VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA ILI KUANGAMIZA MAZALIA YA...
Na. Catherine Sungura, Tanga
Viongozi wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao...













