MPANGO WA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA AFYA
Na.WAF-Dodoma
Wakurugenzi na Waganga Wafawidhi wa hospitali za Taifa, Kanda na Mikoa wametakiwa kuwatia moyo na kuwahamasisha watumishi wa kada za afya kwenda kusoma maeneo...
FEMATA yachanga zaidi ya milioni 768 kuanzisha benki yake
Wajumbe wa Shirikisho la vyama vya wachimbaji madini nchini Tanzania (FEMATA) wamekubaliana kwa kauli moja kuanzisha benki ya wachimbaji madini ambapo zaidi sh milioni...
Benki ya CRDB yazindua Mikopo Maalum ya Hajj na Umrah isiyo na dhamana kusaidia...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Mikopo ya kuwawezesha...
WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wakiongozwa na...
MAWAZIRI WATATU WAJADILI UWEKEZAJI NA KILIMO
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) na...
WARATIBU HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WAPIGWA MSASA
Na Farida Ramadhani, WFM-Dodoma.
Serikali imeandaa mafunzo ya waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha ili kuwajengea uwezo na kupata mrejesho wa utekelezaji wa...
WAZIRI MKUU AZINDUA HUDUMA YA UPANDIKIZAJI ULOTO BENJAMIN MKAPA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali iliamua kuwekeza shilingi bilioni 2.7 ili kuanzisha huduma ya upandikizaji uloto na kupunguza gharama za matibabu hayo kwa...
WANAWAKE WATAKIWA KUVUMILIA KWENYE NDOA KUEPUSHA WATOTO WA MITAANI
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE wametakiwa kuwa wavumilivu kwenye ndoa na kutafuta usuruhishi ili kulea familia na kuepusha watoto wa mitaani.
Kauli hiyo imetolewa kwa nyakati tofauti...
Wananchi watakiwa kuwa na tahadhari dhidi ya Magonjwa yasiyosahaulika
Wananchi wanaoishi kando Kando mwa ziwa Victoria wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Magonjwa ya kuambukizwa yanayosababishwa na maji ya ziwa na vijito yakiwemo ya...















