BUMBULI YACHANJA WATOTO 10,377 SIKU YA KWANZA
Na Yusuph Mussa, Bumbuli
HALMASHAURI ya Wilaya Bumbuli mkoani Tanga, huenda ikavuka lengo la uchanjaji chanjo ya ugonjwa wa polio kwa watoto chini ya miaka...
RC RUKWA: WATUMISHI TATUENI KERO ZA WANANCHI
Na. OMM RukwaMadiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wametakiwa kushirikiana katika kutatua kero na shida za wananchi ili kuleta ustawi wa...
TANZANIA NA SINGAPORE KUBADILISHANA WAKUFUNZI KWENYE VYUO VYA UFUNDI NA UJUZI
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Serikali imesema kuwa Tanzania ipo tayari kubadilishana na Singapore wakufunzi wa vyuo vya Ufundi na Ujuzi ili kuongeza uelewa...
MHE. RAIS MWINYI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wanzanzibari Serikali yake itachukua hatua zaidi za kuhakikisha inadhibiti ubadhirifu...
KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA, ATOA ANGALIZO UJENZI WA BARABARA INAYOUNGANISHA MKOA...
Makamu mwenyekiti wa ccm bara comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera.
Akizungumza mjini...
WAWEKEZAJI ARUSHA WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA UJENZI WA BARABARA ZA TARURA
Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa...
SERIKALI KUHAKIKISHA MAKUNDI YOTE YANAPATA FURSA SAWA
Na WMJJWM, Dodoma
Serikali imedhamiria kuhakikisha makundi yote katika jamii yanashiriki kikamilifu kwenye utekelezaji wa Mipango, Sera na Miongozo inayotegenezwa ili kila mmoja anufaike na...
MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA BARABARA KWA WAKATI/ WANANCHI WACHEKELEA SASA
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Muleba mkoani Kagera imeagiza Barabara zote zinazotekelezwa wilayani humo kukamilika kwa wakati na kuzingatia ubora unaotakiwa.
Kamati hiyo imetoa...
KAMPUNI YA GF TRUCKS & EQUIPMENT LTD YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI NA GEITA GOLD...
Na mwandishi wetu
GF Trucks & Equipment LTD ni kampuni ya uuzaji wa Magari Makubwa (FAW), Machine(XCMG) na spare parts yatangaza kuingia Udhamini na Geita...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UUZAJI WA ARDHI HOLELA.
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Dakta Angelina mabula amepiga marufuku kwa wapimaji na waendelezaji wa Milki kuuza viwanja vyenye vipimo...













