Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YASHAURI MAABARA KUU YA TAIFA YA AFYA YA JAMII...

0
Na Englibert Kayombo WAF - Dar Es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kutoa kipaumbele kwa Maabara...

UJENZI WA MADARAJA YA MAWE KUWANUFAISHA WANANCHI HAI

0
Ujenzi wa madaraja ya upinde wa mawe (stone arch bridges) ya Mkalama–kikavuchini, Ngira na Kisereni unaotekelezwa katika wilaya ya Hai, unatarajiwa kuondoa kero ya...

TARURA SIHA WAAGIZWA KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA SANYA JUU

0
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewaagiza meneja wa TARURA Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na meneja wa...

BARABARA ZA TARURA ZALETA SHANGWE HAI WANANACHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA

0
Ujenzi wa barabara za Makoa Darajani-Mferejini (7.3 KM) na Kwasadala -Longoi (6.0 KM) kwa kiwango cha changalawe umeleta faraja na furaha kubwa kwa wananchi...

WAZIRI BASHUNGWA: MABASI 177 MAPYA YA MWENDOKASI YANANUNULIWA

0
Na, OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za...

RATIBA YA KUFUNGULIWA SHULE IPO PALE HAKUNA MAELEKEZO MENGINE-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Pemba, Zanzibar Serikali imekanusha taarifa za uzushi zilizotolewa kuhusu tarehe ya shule kufunguliwa iliyotolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema...

NHC KUENDELEZA MIRADI YAKE ILI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA

0
Na Magrethy Katengu Shirika la Nyumba la Taifa NHC limesema kwamba hivi karibuni litaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba unaojulikana kama Samia Housing Scheme...

JEDWALI LA UCHAMBUZI WA SHERIA NDOGO LAKABIDHIWA KWA WAZIRI SIMBACHAWENE

0
Na Mwandishi wetu Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe.George Simbachawene amepokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa...

TMA: MVUA ZA VULI ZINATARAJIWA KUWA ZA CHINI YA WASTANI HADI WASTANI

0
Na Magrethy Katengu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa...

WANANCHI: TOZO NI MUHIMU KWA MAENDELEO YETU

0
Maelfu ya Wananchi jijini Dar es salaam, leo Septemba 01, 2022, wameendelea kutoa maoni mbalimbali kuhusu umuhimu wa Tozo katika maendeleo, Wengi wakieleza namna...