Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

WATENDAJI WAHIMIZWA KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFDP

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza kuwa na vikao vya uratibu vya pamoja...

NSSF YAJIPANGA KUWAFIKIA SEKTA ISIYORASMI KIKAMILIFU

0
Na Emmanuel Kawau Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka wafanyakazi wa sekta binafsi na wale wasio na sekta rasmi kujiunga na mfuko...

WATENDAJI WA SENSA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

0
Na mwandishi wetu Watendaji wa Sensa wapewa wito kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kukamilisha kwa ufanisi  zoezi la Sensa ya watu na Makazi inayotarajiwa...

BWAWA LA MAJI LA KWENKAMBALA WILAYANI HANDENI KUBORESHWA

0
Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amekabidhi hundi za thamani ya shilingi milioni 60.6 kwa wananchi waliopisha maeneo kwa ajili ya...

AZAKI KUHAMASISHA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

0
Na Magrethy Katengu TAASISI za sekta binafsi zimetakiwa kushirikiana kwa karibu na Asasi za Kiraia (AZAKI,) Ili kusaidia kutatua changamoto zinazoikabili Jamii kwa kuwafikia wananchi...

SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WADAU FURSA ZA KIDIGITALI

0
Na Mwandishi wetu, MzawaOnline Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa Sekta binafsi katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini Tanzania ikiwemo kuwajengea uwezo na...

RAIS SAMIA ATANGAZA SIKU YA SENSA NI MAPUMZIKO

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa tarehe 23 Agosti ambayo ni siku...

DEREVA WA DALADALA MBARONI TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamataMaarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya...

WATAALAMU WABOBEZI WA MAGONJWA YA NTDs WA NDANI NA NJE WAKUTANA DAR

0
Na Mwandishi Wetu,DSM WATAALAMU mbali mbali Wabobezi katika Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ya Usubi,Matende na Mabusha,Trakoma, Kichocho na Minyoo (NTDs), wamekutana Dar es Salaam kushauri...

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MIKUTANO YA MABARAZA YA MAWAZIRI WA MAJI WA BONDE LA...

0
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepewa heshima ya kuandaa mikutano ya mabaraza ya Mawaziri wa maji wa bonde la Mto Nile. Akizungumza na waandishi wa...