Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUENDELEZA MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuendelea kutolewa fedha kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi...

RC CHALAMILA KUIFUNGUA KAGERA KIUCHUMI NA KIDIPLOMASIA

0
Na Allawi Kaboyo – Bukoba. Mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila amedhamilia kuwatumia wasomi na wataalamu wa mkoa wa huo kuhakikisha anauendeleza kiuchumi na...

MHE.SAMIA-AKEMEA UHARIBIFU VYANZO VYA MAJI.

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Shongo-Mbalizi, mkoani Mbeya na kuwataka wananchi kulinda mazingira,...

RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4

0
Mheshimiwa Rais atakuwa na ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Mbeya ambapo atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi katika...

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI.

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na...

ENDELEENI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI-DKT. SICHALWE

0
Na. WAF – Manyara Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Misheni ya Haydom iliyoko Mkoani Manyara kwa kazi nzuri...

MAJALIWA: RAIS SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA MICHEZO SHULENI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa michezo shuleni, hivyo itaendelea kuhamasisha...

Prof MBARAWA ; SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU KWA BAJETI ILIYOTENGWA

0
Na Magrethy Katengu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia bajeti yake ya mwaka 2022/2023 itaendelea kuboresha miundombinu ikiwemo bandari,viwanja vya ndege, barabara na madaraja, vivuko...

MHE.TSERE AWAPONGEZA WAKULIMA WA WILAYA YA LUDEWA

0
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe.Andrea Tsere, amewapongeza wakulima wote wa Wilaya ya Ludewa waliopo kwenye maoneshe ya nanenane Jijini Mbeya kwa Upendo mkubwa...