LUDEWA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA KILIMO.
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bwana Chrispin Kalinga amewahamasisha Watanzania kutembelea banda la Halmashauri hiyo kwenye maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayoendelea...
TANZANIA NA ZAMBIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA KUKUZA KIBIASHARA
Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kuibua fursa za biashara na kutatua mara moja changamoto zilizopo na zitakazojitokeza katika uwekezaji na biashara ili...
WAZIRI NDALICHAKO: SERIKALI KUJENGA VYUO VITATU VYA WENYE ULEMAVU NCHINI
Na: Mwandishi Wetu – Kasulu, Kigoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema...
MAJALIWA: TUTAENDELEA KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA YA NISHATI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia kikamilifu sekta ya nishati...
WATUMISHI WA WILAYA YA TEMEKE WAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPANDISHA MADARAJA...
Na Mwandishi wetu.
Leo Tarehe 03/08/2022 baadhi ya watumishi wa kada mbalimbali kutoka katika Wilaya ya Temeke wamezungumza na waandishi wa habari na kupongeza juhudi...
TULITAWALIWA KWA SABABU YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Katika kutekeleza kwa vitendo ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 na mpango mkakati wa serikali...
STAMICO YAJA NA SULUHISHO LA MATUMIZI YA MKAA MBADALA UNAOZALISHWA NA MAKAA YA MAWE
Na Magrethy Katengu
Shirika la Madini Taifa (STAMICO) limesema litahakikisha linaongeza juhudi kukabiliana changamoto ya mabadiliko ya Tabia nchi inayosababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwemo...













