Home Kitaifa RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4 Kitaifa RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4 By Joseph Nelson - August 5, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya Mheshimiwa Rais atakuwa na ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Mbeya ambapo atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi katika wilaya tofauti Mkoani Mbeya. Picha na Eliud Rwechungura – OR TAMISEMI