Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

WAISLAMU ENDELEENI KUDUMISHA AMANI,UPENDO,MSHIKAMANO

0
NA Magrethy Katengu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi waislam nchini waendelee kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana, utulivu sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu,...

TIGO NA NOKIA WALETA SIMU MPYA SOKONI KWA BEI NAFUU

0
 Leo tarehe 8 Julai 2022 , Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi ya...

ACP MULIRO JUMANNE MULIRO ATEMBELEA BRELA NA KUPATA ELIMU

0
Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro(mwenye shati yenye madoa meupe na meusi), ametembelea katika moja...

NYUMBA YA WALIMU LUMUMA SEKONDARI KUJENGWA

0
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tamisemi imeahidi kujenga Nyumba ya walimu moja (two in one) itakayojengwa kwa kupitia mradi wa EP4R katika shule ya...

BRELA NA TAKUKURU WAFUNGUA MLANGO WA MASHIRIKIANO

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA ) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), zimekusudia kuwa na mashirikiano ili kuongeza...

RAIS SAMIA ATEUA KATIBU MTENDAJI WA BASATA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Kedmon Elisha Mapana kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la...

MHE. MAHAWANGA AZINDUA SEMINA MAALUM YA MALEZI KWA WATOTO

0
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Mahawanga Janeth leo ameshiriki kama Mgeni Rasmi katika semina ya Haki na kujitambua kwa...

KINANA AKOSHWA NA JITIHADA ZA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrhaman Kinana ametembelea Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam...