Sunday, June 28, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

TAASISI YA DIAMONDS IN THE SKY FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUSOMA NA...

0
Taasisi ya Diamonds in the Sky foundation wametoa msaada wa vifaa vya kusomea na michezo kwa wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya msingi Dovya...

RAIS MWINYI AHIMIZA JAMII KUWA NA MAZINGIRA MAZURI YA FURSA KWA YATIMA

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa jamii kujitahidi kuwajengea mazingira mazuri yatima yatakayowapa...

MEJA JENERALI MUMANGA “MPANGO WA TAIFA WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA KUPUNGUZA VIHATARISHI...

0
NA. MWANDISHI WETU Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeanzisha Mpango wa Taifa ya Kujiandaa na kukabiliana na Maafa pamoja na Mkakati wa Mawasiliano wa...

MHE. SIMBACHAWENE, BARABARA YA MAKOSE IDODOMA ITAKARABATIWA

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa...

WANACHAMA WA CCM WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU

0
Na Magreth Mbinga Wagombea 306 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea uongozi wa CCM ngazi mbalimbali katika wilaya ya Ilala ambapo zoezi hilo lilianza tarehe 2...

MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA WENZAKE TISA WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA...

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, Bw. Jumanne Shauri pamoja na watumishi wengine tisa wa...

PROF. MKENDA: NMB KUTOA MKOPO WA BIL 200 KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU

0
Na Mathias canal, WEST-Dar es salaam Wanafunzi wamepata ahueni baada ya Benki ya NMB katika mwaka wa fedha 2022/2023 kutenga Bilioni 200 kwa ajili ya...

UONGOZI WA HOSPITALI YA MAWEZI WATAKIWA UJITAZAME UPYA KATIKA UWAJIBIKAJI

0
Na.WAF,Kilimanjaro Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Mawenzi Mkoani Kilimanjaro kujitazama upya katika usimamizi na uwajibikaji...

SHILINGI BILIONI 4.2 KUJENGA DARAJA JIPYA LA MSADYA, MPIMBWE MKOANI KATAVI

0
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi bilioni 4.2 kujenga daraja jipya la Msadya lililopo kata ya Mwamapuli,...

MHE. SIMBACHAWENE APONGEZA UTEKELEZAJI WA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI KIBAKWE

0
Na mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Geroge Simbachawene amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kwa kutekeleza...