WAZIRI AWESO: WATAKWIMU NA WATEHAMA WAWEZESHWE KUKUSANYA TAKWIMU
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watendaji katika taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maji kuwawezesha Watakwimu na Watehama katika taasisi wanazoziongoza...
UWARIDI WAMEONGEZA VITU VINGI AMBAVYO VINAVUTIA VIJANA KUSHIRIKI MATAMASHA YAO
Wazo la Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda tunalo mwaka wa nne sasa tumelipokea vizuri linalengo la kusaidia waandishi na wasomaji wa riwaya endapo...
SHINDANO LA KUENDESHA PIKIPIKI KUKUSANYA WASHIRIKI NDANI NA NJE YA NCHI
Shindano la kuendesha pikipiki ambalo linajulikana kwa jina la EAST AFRICA SAN VILLAGE litafanyika tarehe 17 Kibaha Misugusugu katika uwanja wa shule ya msingi.
Hayo...
CHONGOLO AKEMEA WANAOSAKA UDIWANI NA UBUNGE SASA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya wanachama kuanza kujipitisha katika majimbo kutafuta wapambe ili wawasaidia...
TIC YAELEZA SABABU ZA USHIRIKI MAONYESHO YA UWEKEZAJI SABASABA
Na; Theresia AllanTaasisi inayohusika kuweka mazingira Bora ya uwekezaji nchini Tanzania (TIC) imetangaza fursa za vipaumbele dhidi ya uwekezaji nchini katika maonyesho ya 46...
MAGEUZI MAKUBWA YA KILIMO NDIO YATAKAYOWAINUA WANANCHI WA KIBAKWE
Na mwandishi wetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa...
PROF. MKENDA: WAOMBAJI MIKOPO 2022-2023 SOMENI MWONGOZO
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewahimiza waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...
DKT. BITEKO AFAFANUA UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE VYA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA...
Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema sekta ya Madini, Mwaka wa Fedha 2021/22 ulikuwa ni mwaka wa kazi na matokeo,kwa kuweza kukusanya...
SHIRIKA LA RELI TANZANIA LATIA SAINI MKATABA WA UKARABATI WA BEHEWA 20 ZA MIZIGO...
Shirika la Reli Tanzanian (TRC) linashukuru Serikali kwa kutoa fedha kwaajili ya kutekeleza mradi wa ukarabati wa behewa 200 za mizigo ukarabati huo ni...













