Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU LATRA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti...

DOLA MIL. 5 ZATOLEWA KUKAMILISHA UJENZI WA TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI ZANZIBAR

0
Na Mathias Canal, WEST-Zanzibar Serikali imetoa kiasi cha Dola Milioni tano (USD Mil 5) kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Chuo...

MHE. RITA KABATI AMEONGOZA MAMIA YA WATU KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MKOA WA IRINGA

0
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rita Kabati akiwasalimu wageni waalikwa wakiwemo watu wenye ulemavu waliohudhuria Kongamano la watu wenye ulemavu wa...

WAZIRI MKUU AZINDUA FILAMU YA THE ROYAL TOUR RUANGWA

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuweka mipango ya kuibua fursa za utalii ili ziweze kunufaika na idadi kubwa ya...

MHE. SIMBACHAWENE, AHIMIZA WANANCHI WA KIBAKWE KUSHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa rai kwa wananchi kujiandaa kwa zoezi la sensa ya...

TAASISI BINAFSI ZAOMBWA KUENDELEA KUUNGA MKONO SEKTA YA AFYA

0
Na Magrethy Katengu Mstahiki Meya wa Jiji Dar es salaam Omary Kumbilamoto ameomba taasisi binafsi kuunga mkono Serikali kwa juhudu zao za kuendelea kusogeza huduma...

MHE. GEKUL AZINDUA KAMATI YA KUTATUA HAKI ZA WASANII

0
Na John Mapepele. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaaa na michezo. Mhe Pauline Gekul leo Julai 8,2022 amezindua Kamati maalum ya kuratibu mjadala wa namna bora...

WAZIRI MKUU AKABIDHI MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI RUANGWA

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi, 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa katika...

NAIBU KATIBU MKUU MMUYA: WANANCHI WAYAFURAHIA MAISHA MAPYA YA MSOMERA

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Bw. Kaspar Mmuya amewashukuru wananchi waliohamia katika Kijiji cha Msomera...