Home Kitaifa RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU LATRA

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU LATRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).

Previous articleDOLA MIL. 5 ZATOLEWA KUKAMILISHA UJENZI WA TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI ZANZIBAR
Next articleKINANA AKOSHWA NA JITIHADA ZA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here