Saturday, June 27, 2026
Home 2022 July

Monthly Archives: July 2022

VIWANJA SITA VYA MICHEZO VYATENGEWA BAJETI

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ili kuinua michezo. Mchengerwa ametoa...

MCHENGERWA ATEMA CHECHE KWENYE USIKU WA MASTAA WA SOKA

0
Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ili...

TANZANIA YAWA MWANACHAMA KAMILI WA SADC KATIKA UPANDE WA USAFIRI WA ANGA (SASO)

0
NA MWANDISHI WETU Tanzania imekuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika katika upande wa usafiri wa Anga (SASO) baada ya kutia saini...

PROF: KAHYARARA: WATANZANIA MNAWEZA KUMILIKI VIWANDA VIJINI NA MIJINI.

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Wizara imeandaa programu maalumu ya Suluhisho la Pamoja la Uwekezaji katika...

SHUHUDIA MAAJABU YA SIMU MPYA ZA SAMSUNG

0
Leo Julai 7 2022, Kampuni inayoongoza nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu ya Samsung Tanzania...

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA...

0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waliokuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la...

WAZIRI BITEKO AWATAKA WACHIMBAJI WA MADINI KUTUMIA VIWANDA VYA NDANI KUSAFISHA DHAHABU

0
Serikali imewataka wachimbaji wote wa madini na wafanyabiashara nchini kusafisha dhahabu katika viwanda vya ndani badala ya kuuza malighafi kwenye viwanda vya nje. Rai, hiyo...

DIWANI PAZI AISHUKURU TAASISI YA ABDULLAH AID, YAWASAIDIA WENYE MAHITAJI MAALUM

0
Diwani wa Kata ya Buguruni Mhe. Busoro Pazi kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Buguruni ameishukuru Taasisi ya Abdullah Aid yenye makao yake...

BRELA NA NIDA ZIMEJIPANGA KUBORESHA HUDUMA

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bwa. Kaspar Mmuya amesema uboreshwaji wa huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho...