Home Kitaifa WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI YA JESHI...

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA (SHIMA) ILIYOMALIZA MUDA WAKE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waliokuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA) iliyomaliza muda wake, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Kushoto ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Raphael Muhuga, na wapili kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Solomon Urio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waliokuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA) iliyomaliza muda wake, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Kushoto ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Raphael Muhuga, na kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Solomon Urio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipokea taarifa ya utendaji ya Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA) iliyomaliza muda wake kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Raphael Muhuga, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA), Solomon Urio alipokuwa akizungumza katika kikao cha Bodi ya Shirika hilo iliyomaliza muda wake. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA), Raphael Muhuga, wakati alipokuwa anasoma taarifa ya utendaji wa shirika hilo katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Solomon Urio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Jeshi la Magereza (SHIMA) iliyomaliza muda wake, Yahya Mgawe, akizungumza katika Kikao kilichokuwa kinaongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!