TGNP YASISITIZA BAJETI ZINAZOZINGATIA MAHITAJI YA KIJINSIA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umewataka maafisa mipango, elimu na ustawi wa jamii kutoka halmashauri mbalimbali nchini kuhakikisha wanaingiza...
WIZARA YA VIWANDA YAJIPANGA UONGEZAJI THAMANI WA CHUMA CHA LIGANGA
Na Mwandishi Wetu - China.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Salvio Kapinga (Mb.), akiambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
MENEJA MKUU KARIAKOO: MATANGAZO YA BIASHARA MTANDAONI HAYAEPUKIKI KATIKA UFANISI WA BIASHARA
Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim amewashauri wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kutangaza bidhaa zao mtandaoni jambo litakaloendelea...








