WAZIRI MKUU AZINDUA SERA YA MAENDELEO ENDELEVU YA VIWANDA, JASIRIAMALI NDOGO NA ZA KATI
📌 Ameiagiza Wizara kuandaa mikakati ya kutekeleza sera zote na kufanya tathmini na ufuatiliaji;
📌 Awataka Watanzania kuwa wazalendo na kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini;
📌 Waziri...
PDPC INAVYOTUMIA PDPA KULINDA TAARIFA BINAFSI ZA WANANCHI NA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NCHINI
Katika uchumi wa kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa rasilimali muhimu kwa shughuli za biashara, uwekezaji na utoaji wa huduma. Hata hivyo, thamani yake haiwezi kutenganishwa...








