Home Kitaifa RAIS SAMIA ATEUA KATIBU MTENDAJI WA BASATA

RAIS SAMIA ATEUA KATIBU MTENDAJI WA BASATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Kedmon Elisha Mapana kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)

Dkt Mapana amechukua nafasi ya Bw. Godfrey Lebejo Mngereza ambaye alifariki dunia.

Previous articleMHE. MAHAWANGA AZINDUA SEMINA MAALUM YA MALEZI KWA WATOTO
Next articleBRELA NA TAKUKURU WAFUNGUA MLANGO WA MASHIRIKIANO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here