NMB YAZINDUA TAWI JIPYA JIJINI TANGA
Na Boniface Gideon, TANGA
BENKI ya NMB imezindua Tawi Jipya lililopo Katikati mwa Jiji la Tanga kata ya Majengo na kupewa jina la NMB...
WADAU WA SEKTA MBALIMBALI WAMEKUTANA NA BRELA ILI KUREKEBISHA SHERIA YA LESENI
Na Magreth Mbinga
Sheria za biashara hazitakiwa kuwa mgando zinatakiwa ziendane na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa kama hali inavyoendelea Duniani na Nchini.
Hayo yamezungumzwa na...
SATELAITI KUENDELEA KUBORESHA TAARIFA ZA HALI YA HEWA.
Dar es Salaam;
Serikali imewahakikishia wadau wa hali ya hewa nchini kuwa itaendelea kuboresha miundombinu na watalaam wake ili kuhakikisha usahihi wa taarifa za hali...
TATIZO LA AFYA YA AKILI CHANZO CHA VITENDO VYA UKATILI
Na Magrethy Katengu
Licha ya Jitihada zinazofanywa kuhakikisha vitendo vya ukatili vinapungua lakini hali bado inazidi kuwa mbaya huku chanzo kinachosababisha ni Mtu kuwa na...
RAIS DKT.MWINYI AWAPONGEZA CHUO CHA MAJI
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekipongeza Chuo cha Maji na kumtaka...
SERIKALI KUWAONDOLEA ADHA YA MAJI WANANCHI WA JIJI LA MWANZA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango amesema Serikali imedhamiria kuwaondolea adha ya maji wananchi wa Jiji...
WAZIRI MKENDA AZINDUA MRADI WA HEET UTAKAONUFAISHA VYUO 14
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha inawasomesha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu nje ya nchi Ili kusaidia...
NMB KUSOMESHA WATOTO WANAOTOKA KAYA DUNI ELIMU YA JUU
Na Yusuph Mussa, Mbeya
BENKI ya NMB imepanga kusomesha elimu ya juu kwa watoto wanaotoka kwenye kaya zenye mazingira magumu ikiwemo wenye kipato duni. Nia...
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAJASRIAMALI NA WAFANYABIADHARA KUWAWEZESHA KIUCHUMI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itahakikisha bajeti inayotengwa na kuelekezwa katika Halmashauri kuwawezesha Wafanyabiashara na Wajasrimali inawafikia moja kwa moja ili...













