Home Kitaifa RC SENDIGA AKUTANA NA WAZEE WA RUKWA, AOMBA USHIRIKIANO

RC SENDIGA AKUTANA NA WAZEE WA RUKWA, AOMBA USHIRIKIANO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sengida (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali nakala ya Miongozo ya Usimamizi wa Elimu leo ini Sumbawanga kwenye hafla iliyohudhuriwa na Wakuu wa Wilaya, Maafifa wa Elimu wilaya na kata.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sengida (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Tano Mwela nakala ya Miongozo ya Usimamizi wa Elimu leo mjini Sumbawanga kwenye hafla iliyohudhuriwa na Maafifa wa Elimu wilaya na kata
ehemu ya Maafisa Elimu Wilaya na Kata wakifuatilia kikao cha uzinduzi wa miongozo ya usimamizi wa elimu leo mjini Sumbawanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here