WATUMIAJI WA VILAINISHI VYA MAFUTA WATAHADHARISHWA KUHUSU BIDHAA FEKI
Na Boniface Gideon, Tanga
Watumiaji wa vilainishi vya mafuta nchini wametakiwa kuwa waangalifu wanaponunua bidhaa hizo kutokana na uwepo wa bidhaa feki sokoni. Tahadhari hiyo...
RC SHINYANGA AWAAALIKA WANANCHI KUPATA MSAADA WA KISHERIA BURE
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kupata huduma za msaada wa kisheria zitakazoanza kutolewa kuanzia tarehe...
HANDENI MJI YAPIGA HATUA KUDHIBITI UTAPIAMLO KWA WATOTO
*Watoto wanaolazwa wapungua kutoka 32 hadi 7 kwa robo mwaka
Na Augusta Njoji
IDADI ya watoto wanaokabiliwa na utapiamlo mkali katika Halmashauri ya Mji Handeni imepungua...






