TET KUSHIRIKIANA NA DUCE KUIMARISHA ELIMU KUPITIA TAFITI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, amefungua maonesho ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha...
DKT. MWIGULU ATAKA ASILIMIA 20 YA MAPATO YA MAZAO IELEKEZWE KUJENGA MAGHALA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema asilimia 20 ya mapato yatokanayo na mazao ya kilimo inapaswa kuelekezwa katika ujenzi wa maghala karibu na maeneo...
TUME YA MADINI YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI, YAKUSANYA MADUHULI TSH. TRILIONI 1.192
ARUSHA
Tume ya Madini imeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika usimamizi wa rasilimali za umma baada ya kupata hati safi ya ukaguzi kwa Hesabu za Mwaka...
WATAALAM WAONYA HATARI YA MASALIA YA DAWA KWENYE MAZIWA, WADAU WAPEWA MAFUNZO MBEYA
Wataalam wa Tasnia ya Maziwa nchini wameonya juu ya matumizi holela ya dawa kwa mifugo ambayo husababisha uwepo wa masalia ya dawa katika maziwa,...
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2026 AIPONGEZA REA KWA UHAMASISHAJI WA NISHATI...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndugu Wazo Michael Mwang’onda, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa juhudi kubwa inazoendelea...
ULINZI WA BOMBA LA GESI WAPEWA KIPAUMBELE MKOA WA PWANI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kuimarisha ushirikiano na jamii kwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda na kuhakikisha usalama...
SERIKALI YASISITIZA UHURU WA KUKOSOA SI MATUSI
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema watu wanaoitukana Serikali, kufanya uchochezi na vitendo visivyo vya maadili mitandaoni, majina yao yameshakabidhiwa kwa...
SHIRIKI TBS ” VIWANGO MARATHON ” MEI , 23 KUCHANGIA VIFAA KWENYE HOSPITALI ZENYE...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mbio za marathon zijulikanazo kama ‘Viwango Marathon’ ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu...
NAIBU WAZIRI NISHATI AITAKA TANESCO KUIMARISHA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA MIFUMO YA KIDIGITALI
📌 Afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka 2026 wa Maafisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO
📌 Asisitiza utoaji wa taarifa sahihi kwa wateja
📌 Aagiza kuboreshwa...












