DKT. MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANANCHI KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
▪️ Asema utekelezaji wa Bwawa la Farkwa kuanza baada ya kukamilika kwa taratibu za manunuzi
▪️ Aagiza kukomeshwa kwa ukamataji usio na msingi wa vitendea...
WAFANYABIASHARA WA MADINI NZEGA WASEMA MASOKO YA MADINI YAMEBORESHA BIASHARA
Na Boniface Gideon, TABORA
Uongozi wa Soko la Madini Nzega mkoani Tabora umesema kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini kumeongeza uwazi, usalama na ufanisi wa...
DKT. MWIGULU ASISITIZA KUKAMILIKA KWA MRADI WA MAJI CHEMBA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuhakikisha Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Mji wa Chemba unakamilika kwa wakati ili kuongeza...
BWENI YATWAA UBINGWA AWESO VIJANA CUP
Na Boniface Gideon, PANGANI
Timu kutoka Kata ya Bweni ya wilaya ya Pangani imefanikiwa kuibuka mshindi wa mashindano ya Aweso Vijana Cup kwa ushindi wa...
CCM TUTAFANYA MARIDHIANO NA WENYE NIA NJEMA – WASIRA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini...
KAPINGA: SERIKALI YA RAIS SAMIA INAENDELEA KUBORESHA ELIMU, AFYA NA KILIMO MBINGA VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Mbinga vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi...









