BONDIA MMAREKANI AFURAHIA MAPOKEZI TANZANIA, AJIANDAA KUONA MAAJABU YA SERENGETI
Bondia wa kimataifa wa Marekani Terence “Bud” Crawford amesifu ukarimu wa Watanzania tangu alipowasili nchini Mei 24, 2026, kwa ziara ya kitalii.
Bondia huyo ameyasema...
BONDIA MASHUHURI KUTOKA MAREKANI ATUA KUFANYA “ROYAL TOUR” TANZANIA
Bondia mashuhuri kutoka Marekani mwenye rekodi ya kushika mikanda yote minne ya dunia katika uzito wake ukiwemo wa welterweight, Terence “Bud” Crawford, ametua nchini...
TADB YATUMIA REDIO ZA KIJAMII KUFIKIA WAKULIMA NCHINI
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inaendesha semina kwa wamiliki na wahariri wa redio za kijamii zipatazo 50 toka Tanzania Bara na Zanzibar...
WAZIRI MKUU: MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa...
NLD IMEMPONGEZA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KWA KUIANDIKIA CCM BARUA
Na Boniface Gideon, Tanga
Chama cha National League for Democracy (NLD), kimeipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kwa hatua stahiki ilizochukua hivi...
DCEA YATEKETEZA KILO 504.36 ZA HEROIN MTWARA BAADA YA AMRI YA MAHAKAMA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza kilogramu 504.36 za dawa za kulevya aina ya heroin katika kiwanda cha saruji...









