Wednesday, June 24, 2026
Home 2026 May 8

Daily Archives: May 8, 2026

WAZIRI KAPINGA: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA EU UFUNGUE MILANGO YA KIUCHUMI NA SIO UTEGEMEZI.

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuhakikisha sekta binafsi, hususan wafanyabiashara wadogo na...

WAZIRI KAPINGA AITAKA TBS KULINDA RASILIMALI ZAKE , AWAKABIDHI MAGARI MAPYA 11 KUIMARISHA UKAGUZI...

0
Na Adery Masta. Dar es Salaam, Mei 8, 2026 — Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuhakikisha...

WADAU JIJINI DAR ES SALAAM WASHIRIKI MAPITIO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KUENDANA...

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam. Wizara ya Fedha imeendelea na mchakato wa kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa...

REA YAIMARISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MWANZA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtambulisha rasmi mtoa huduma, kampuni ya Envotec Services Limited, kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Said Mtanda, kwa...

BODI YA NISHATI VIJIJINI  (REB)  YAFANYA KIKAO NA WAKANDARASI WA MIRADI UMEME VIJIJINI MKOA...

0
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu, leo tarehe 8 Mei, 2026 imefanya...

OFISI YA MAKAMU WA RAIS,UNICEF TANZANIA KUSHIRIKIANA UTEKELEZAJI DIRA 2050

0
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa akifanya mazungumzo na Mkuu wa Masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira wa...

SERIKALI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

0
Na Saidina Msangi, WF, Dodoma Wizara ya Fedha imebainisha kuwa itaendelea kujenga uelewa, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na mashirika yasiyo ya...