Tuesday, June 16, 2026
Home 2026 May 18

Daily Archives: May 18, 2026

DKT. MAGHEMBE AZINDUA KONGAMANO LA TIMUN 2026 ZANZIBAR

0
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ngwaru Jumanne Maghembe amesisitiza umuhimu wa vijana katika kuleta maendeleo endelevu na mabadiliko...

CHIWELESA ATOA MILIONI TANO KUFANIKISHA KAMBI YA UMISETA BIHARAMULO

0
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa, ametimiza ahadi ya kutoa shilingi milioni tano kwa ajili ya kufanikisha kambi ya michezo ya UMISETA...

LONDO ATAKA USHIRIKIANO KUIMARISHA STAKABADHI ZA GHALA

0
Wadau wote wanaohusika na Mfumo wa Stakabadhi za Ghala nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya Mfumo huo na kutumia fursa...

TUZO ZA KARIAKOO BUSINESS AWARDS KUCHOCHEA UKUAJI WA BIASHARA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM SERIKALI imesema itaendelea kuboresha mazingira ya biashara nchini ili kuhakikisha wafanyabiashara wa Kariakoo wanakuwa na ushindani wa kikanda na...