Tuesday, June 16, 2026
Home 2026 May 14

Daily Archives: May 14, 2026

DIT YAZIDI KUTIKISA , WANAFUNZI 30 WA UHANDISI UMEME WAPELEKWA KUSOMEA CHINA KUBADILISHANA UJUZI...

0
Na Mwandishi Wetu. Katika hatua nyingine muhimu ya kukuza rasilimali watu na kuimarisha ubunifu wa kiteknolojia nchini, Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imepeleka...

SERIKALI KUENDELEA KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI – MBWASI

0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais wake Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan imejidhatiti kuziunga mkono sekta binafsi ikiwemo wafanyabiashara na wawekezaji nchini...

SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA NI MHIMILI WA UCHUMI – KAMATI YA BUNGE

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge  ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji...

TRA TANGA YAWANOA WANAWAKE WAFANYABIASHARA

0
Na Boniface Gideon, TANGA Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Tanga,imetoa Elimu ya mlipakodi pamoja na fursa mbalimbali zinazowazunguka Wanawake Wafanyabiashara na Wajasiriamali ili...

HAKIKISHENI GESI YENU INAPIMWA KABLA YA KUNUNUA – KIHULLA

0
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bw. Alban Kihulla akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kuhusu vipimo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu...

RC MTWARA AWAASA VIONGOZI WA CCM KUHAMASISHA WAKULIMA KUTUMIA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

0
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanal Donald Msengi, amewashauri Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwahimiza wakulima kutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala...

KAMATI YA BUNGE  YAIPONGEZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri...