MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU
Na. Lusungu Helela-Chalinze
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema taaluma ya Uuguzi ni kazi...
USIKIVU WA RAIS DK. SAMIA UNALETA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI – KINANA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka...
MAJALIWA: UTULIVU, AMANI NDIYO NGUZO MUHIMU YA USTAWI WA NCHI YETU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa Watanzania watambue kuwa utulivu, amani, umoja na mshikamano ndiyo nguzo muhimu katika ustawi wa Taifa kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Ametoa...
MBUNGE MATHAYO APIGIA CHAPUO BANDARI YA MUSOMA KUFUFULIWA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amesema bandari ya Musoma ikifufuliwa itainua uchumi wa vijana wa Kata ya Iringo na...
Mhe. Mchengerwa aipongeza Yanga kwa kutangaza Tanzania kimataifa
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amepongeza Timu ya Yanga kwa kuichakaza Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa bao moja...
SERIKALI KUPUNGUZA UAGIZAJI WA BIDHAA ZA AFYA KUTOKA 80% HADI 50% IFIKAPO 2030.
Na. WAF - Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80...
SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI ITALY KWA ZIARA YA KIKAZI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Julai, 2023 amewasili katika Jiji la Roma Nchini...
YANGA TAWI LA MARA NA BENKI YA NMB WATOA SADAKA KWA WATOTO WENYE UHITAJI
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI, wanachama na mashabiki wa timu ya Yanga tawi la Mara kwa kushirikiana na benki ya NMB wametoa sadaka ya vitu mbalimbali...
TANGA UWASA YAKABIDHI VYOO SHULE MSINGI NA SEKONDARI PANGANI
Na Boniface Gideon, TANGA
MAMLAKA ya maji Safi na usafi wa Mazingira Tanga (Tanga uwasa) jana imekabidhi vyoo kwa shule za msingi na sekondari Funguni...
DADA MPISHI AONDOKA NA MILIONI YA TIGO CHA WOTE ( + VIDEO)
WAWEZA KUTAZAMA VIDEO HAPA
https://www.youtube.com/embed/h82H_Mimmco
Na Mwandishi Wetu.
Saada Omary Mfanyabiashara ya Upishi, Mkazi wa Ilala Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni Moja, ...













