Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

DKT. MPANGO AMETOA WITO KWA WATANZANIA KUJIEPUSHA NA KUTOA FIGO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania hususani vijana kujiepusha na kutoa figo zao...

TANZANIA NCHI MWENYEJI WA MKUTANO WA RASLIMALI WATU UTAKAOHUDHURIWA NA MARAIS WOTE BARA LA...

0
Na Magrethy Katengu Tanzania ni mwenyeji wa Mkutano wa masuala ya raslimali watu wa Marais wa bara la Afrika na unaotarajiwa kuhudhuriwa na wageni wageni...

CCM MKOA WA MARA KUJENGA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO KWA MILIONI 654

0
Na Shomari Binda-Musoma CHAMA cha Maprnduzi ( CCM) mkoa wa Mara kimeanza ujenzi wa ukumbi wa mikutano na sherehe mbalimbali utakao ghalimu kiasi cha shilingi...

BOPOA wataka Elimu kutolewa ziwani kuepusha ajali

0
Na Neema Kandoro,Mwanza WAMILIKI wa Boti na Yadi (BOPOA) Kanda ya Ziwa imeomba mamlaka zinazohusika kutoa elimu kwa watumiaji wa maji kuepuka kuingilia njia za...

WHO YATOA MILIONI 855 KWAAJILI YA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

0
Na. Catherine Sungura, Dodoma Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha Za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa...

TPDC KUJENGA MIUNDOMBINU YA KUCHAKATA GESI NA KUISAFIRISHA MPAKA DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC imeweza kujenga miundombinu ya kuchakata gesi na kusafirisha gesi asilia kutoka Madimba Mtwara...

TANZANIA NA NETHERLANDS ZAJADILI KUENDELEZA USHIRIKIANO

0
Na Benny Mwaipaja, New York Netherlands imeahidi kuendeleza ushirikiano na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo utekelezaji wa miradi ya kimkakati itakayo...

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SITA (6) WA KAMATI MAALUM YA MAWAZIRI WA FEDHA, MIPANGO...

0
Na. Joseph Mahumi, WF, Nairobi Tanzania imeshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Fedha, Mipango ya kiuchumi na Mtamangano wa Afrika, uliobeba...

MAKAMU WA RAIS MAAGIZO KWA WAZIRI WA KILIMO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa wananchi wa mkoa wa Njombe pamoja na wakulima kwa ujumla...