Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

CHONGOLO KUFANYA MKUTANO WA HADHARA JULAI 29,2023 DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam wanatarajia kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Julai 29...

Dereva aliyesababisha vifo sita kikundi cha Aden Palace akamatwa

0
Jeshi la police mkoani mwanza linamshikilia Oswald kaijage binamungu miaka 39, mhandisi wa umeme katika mgodi wa Geita Gold Mining (GGM)aliyetoroka baada ya kusababisha...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA URUSI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Julai 24, 2023) kwenda Urusi ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili...

MAENDELEO YANAYOONEKANA NCHINI NI MAELEKEZO YA ILANI, RAIS SAMIA-KINANA

0
Na Mwandishi Wetu, Babati MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amewaomba wana CCM nchi nzima kutambua kuwa kila mema yanayoonekana...

DR.CHAYA: MSIKUBALI UPOTOSHAJI WA WAZUSHI, BANDARI HAIUZWI

0
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari na kuzuka kauli za kwamba...

MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA,ABDULRAHAMAN KINANA KUWASILI MARA KESHO

0
Na Shomari Binda-Musoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, anatarajiwa kuwasili mkoani Mara kesho kufanya ziara ya siku moja. Akizungumza ofisini kwake, Katibu...

RC MTANDA ATAKA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI KUINUA AFUA ZA LISHE

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara,Said Mtanda, amewataka viongozi katika ngazi za wilaya na mkoa kuwajibika kwenye majukumu yao katika kuinua afua za...

TCB BENKI KUJENGA MATUNDU YA VYOO 18 SHULE YA MSINGI KIKELELWA ILIYOPO ROMBO MKOANI...

0
Na Mwandishi wetu Zaidi ya wanafunzi 700 katika shule ya msingi Kikelelwa iliyopo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wamesaidiwa kuondokana na changamoto ya hatari ya kuambukizana...

MHE. KAMANI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WILAYA 7 MWANZA

0
Mbunge wa Vijana Mhe. Ng'wasi Damasi Kamani jana tarehe 23 Julai, 2023 alikabidhi pikipiki kwa Wilaya zote 7 za Mkoa wa Mwanza ikiwa ni...

MAJALIWA ATOA SIKU 7 WATENDAJI TARURA, DAWASA KUKAMILISHA BARABARA MUHIMBILI.

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Mikinga...