SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MZEE MKALI-RAIS SAMIA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuenzi na kuthamini mchango wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Hemedi...
MAONYESHO SABASABA YA 47 BRELA WAPATA TUZO 3
Na Magrethy Katengu
Wakala wa Usajili wa biashara na lessni BRELA Wameshukuru waliowapigia kura hadi kupata tuzo tatu ambazo ya kwanza ni tuzo ya Udhamini,...
MASHIRIKA YATAKIWA KUONGEZA UFANISI KATIKA UZALISHAJI
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
Serikali kupitia Ofisi ya Hazina imesema itahakikisha kila Shirika au Taasisi iliyopo chini ya ofisi yake inazalisha kwa ufanisi na kuongeza mapato...
DC SIMA ALIPONGEZA NA KULISHUKURU SHIRIKA LA TEKLA, LATOA MSAADA KWA WATOTO 50 WENYE...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa wilaya Bukoba Erasto Sima amelipongeza shirika linalojihusisha na masuala ya watu wenye ulemavu nchini TEKLA kwa namna lilivyowiwa na...
MWENYEKITI WA ALAT TAIFA AREJEA KWA KISHINDO AANZA MAJUKUMU RASMI BAADA KUKUTWA NA AJALI...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mwenyekiti wa ALAT Taifa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera Mhe Murshid Ngeze amerejea tena kuanza utekelezaji wa usimamizi...
EPSON YAFUNGUA KITUO CHA KWANZA NA HUDUMA YA ZIADA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR ES...
Kampuni inayoongoza uliwenguni kwa vifaa vya printing na projectors EPSON, imezindua kituo cha kwanza cha uzoefu na huduma za ziada Afrika Mashariki jijini Dar...
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU , SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFANYA ZIARA DIT KUSHUHUDIA...
https://www.youtube.com/embed/-D7jl02NfJM
Na Adery Masta.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Jasson Rwezimula Leo Julai 13 , 2023 amefanya ziara katika Taasisi ya...
MWEKEZAJI MAFUTA ALIZETI AWATAKA WAKULIMA KUONGEZA UZARISHAJI,ALIA UHABA WA MALIGHAFI
Na Boniface Gideon, MARA
Mwekezaji wa kiwanda chakuchakata zao la Alizeti Nyihita Wilfred mwekezaji amewaomba Wakulima wa zao Hilo kuongeza uzarishaji wa zao Hilo ili...
ACB BENKI KUJIKITA KULETA MAPINDUZI YA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
Na Mwandishi wetu
Akiba Commercial Bank Plc( ACB ) imesema itahakikisha inaendelea kujikita kuleta mapinduzi ya utoaji huduma bora za kibenki hapa nchini kwa kuboresha...
WAZIRI UMMY MWALIMU AHITIMISHA ZIARA YAKE SIMIYU, AWAPONGEZA KWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Na. WAF - Maswa, Simiyu
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ahitimisha ziara yake ya siku Tatu ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo,...













