Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

DIT KUFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MAONESHO YA 18 YA ELIMU YA JUU, SAYANSI...

0
 Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam ( DIT ) inashiriki katika maonesho ya 18 ya Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini yanayofanyika...

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 6 WA WATAALAMU WA NCHI WANACHAMA WA AU

0
Na. Joseph Mahumi, Nairobi.  Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, ameongoza ushiriki wa Tanzania katika Mkutano wa 6 wa Wataalamu...

“HAKUNA NCHI WALA BANDARI INAYOUZWA, WAPUUZENI WENYE NIA MBAYA” DKT. TULIA

0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi kupuuza hoja...

SERIKALI MKOANI KAGERA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WADAU WA MICHEZO ILI KUPIGA HATUA ZAIDI...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Serikali ya Mkoa Kagera imeeleza kuwaunga mkono wadau wamichezo mkoani humo ili kuinua juu kiwango cha vipaji vya michezo kwa wananchi...

MGORE ACHANGIA THAMANI ZA OFISI CCM TAWI LA KIARA B

0
Na Shomari Binda-Musoma MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Mgore Miraji amechangia thamani za ofisi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM)...

RC MAKALLA AIKABIDHI RASMI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA TIMU YA SOKA YA PAMBA...

0
Asema kipaumbele chake ni Mwanza kuwa na timu ya Ligi Kuu Mwanza ina vipaji vya soka,viwanja vizuri vya mpira na Chuo cha michezo Malya. Uendeshaji Michezo...

TAN WARRIORS SPORTS ACADEMY WAREJEA NCHINI WAKITOKEA ITALY ,WAANIKA MAFANIKIO MAKUBWA (+ VIDEO)

0
TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA https://www.youtube.com/embed/B_BFIBVN4nU Tan Warriors Sports Academy ya mkoani Morogoro inayojihusisha na kuwaendeleza Vijana katika mpira wa Miguu , Basketball , Riadha...

WANANCHI WASIKITISHWA KUAMBIWA WAVAMIZI WA ENEO WALILOISHI ZAIDI YA MIAKA 70 ILIYOPITA MANISPAA YA...

0
Na Shomari Binda-Musoma WAKAZI wa eneo la mtaa wa Baruti Kata ya Nyakato manispaa ya Musoma wamesikitishwa kuitwa wavamizi kwenye eneo waliloishi zaidi ya miaka...

MBARAWA: UMUHIMU WA KUTOA ELIMU KWA WADAU MBALIMBALI

0
Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof.makame mbarawa amesema Tarehe 10 juni mwaka huu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliridhia Azimio la makubaliano...

MAMA MUUZA MKAA ALAMBA MILIONI 1 YA “TIGO CHA WOTE”. ( + VIDEO)

0
TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA https://www.youtube.com/embed/70CV8KPc0SE Na Mwandishi Wetu.  Ikiwa ni Takribani wiki Tatu sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA...