Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

UDOM KUDAHILI WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJIUNGA NA CHUO WAFIKIA 5000 NDANI YA SIKU MBILI ZA...

0
Na Magrethy Katengu Chuo kikuu Cha Dodoma UDOM chasema tangu maonyesho yaanze mwitikio ni mzuri kwani wamefanikiwa kudahili wanafunzi zaidi ya 5000 wanahitaji kujiunga na...

WIZARA YA MAJI YAMKUBALIA MATHAYO KUFIKISHA MAJI KWA ASILIMIA 100 JIMBO LA MUSOMA MJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma WIZARA ya Maji imekubali ombi la mbunge wa jimbo la Musoma mjini kutoa kiasi cha shilingi milioni 309 kukamilisha kufikisha maji kwenye...

UMMY: TUNAWASHUKURU MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KWA MSAADA WAO KWA WATANZANIA

0
Na Boniface Gideon, Tanga WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu kwaniaba ya Serikali ya Tanzania amewashukuru Madaktari Bingwa 15 ambao wamejitolea kuwahudumia Wagonjwa waliopata matatizo ya...

WANAFUNZI MSIOGOPE KUSOMA VYUO VYA NJE

0
Na Magrethy Katengu Watanzania wameshauriwa kutoogopa kuwapeleka watoto wao kusoma vyuo vikuu vya nje ya nchi kwa kuhofia gharama kubwa za mahitaji mbalimbali ikiwemo ada...

BILIONI 3 ZA RAIS SAMIA KUTUMIWA NA TARURA KUFUNGUA BARABARA NA UJENZI WA MADARAJA...

0
Na Shomari Binda-Musoma ZAIDI ya shilingi bilioni 3 zinatarajiwa kujenga barabara kilometa 96, madaraja 8 na kalavati 30 ndani ya jimbo la Musoma mjini. Fedha hizo...

BINGWA MSIMU WA PILI TV3 BILA CHENGA

0
SHINDANO la Bingwa Msimu wa pili latambulishwa Watu maarufu mitandao ya kijamii wajitosa , Washiriki 20 kuingia kambini Julai 30,2023 Jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

BENKI YA TCB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI SHULE MSINGI MASIWANI TANGA

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA BENKI ya Taifa ya Biashara (Tanzania Commercial Bank) leo imekabidhi Vifaa vya vya Ujenzi katika Shule ya Msingi Masiwani iliyopo kata...

FURSA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI KWA WATU WENYE ULEMAVU-SIGHTSAVERS

0
Sightsavers Tanzania Inatekeleza mradi wa uwezeshaji kiuchumi kwa watu wenye Ulemavu, Lengo ni kujenga fursa sawa katika upatikanaji wa ajira na kujiajiri kwa watu...

WAZIRI UMMY AFURAHISHWA NA MIRADI YA TANGA YETU

0
Na Boniface Gideon, TANGA MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema kuwa kupitia fursa ya uchumi wa bluu wananchi wa Jiji la Tanga...

MBUNGE MATHAYO APONGEZA KAZI ZILiZOFANYWA NA TARURA JIMBO LA MUSOMA MJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma Mjini Vedastus Mathayo amepongeza kazi nzuri iliyofanywa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA) wilaya ya...