MBIO MAARUFU ZA TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON ZAZINDULIWA , KUFANYIKA OKTOBA 2023 (...
https://www.youtube.com/embed/aH13w7p8-cE
Na Mwandishi Wetu
ZANZIBAR, 11 Julai 2023 — Mbia Maarufu za TigoZantel Zanzibar International Marathon (ZIM) zimezinduliwa kwa msimu wa tatu , ambazo zitazofanyika mwezi Oktoba...
PBZ JIWEKEZENI MIFUMO IMARA KUMRAHISISHIA HUDUMA KWA WATEJA
Na Magrethy Katengu
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ally Suleiman Ameir ameitaka benki ya Zanzibar PZB kujiwekeza kwenye Mifumo mizuri Imara ya Ulinzi yenye...
RPC TANGA AZINDUA ULINZI CUP
Na Boniface Gideon, TANGA
UTEPE wa michauano Kombe la ulinzi Cup umekatwa rasmi jana kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Magomeni ambapo timu ya...
MWILI WA DIWANI CHARLES MWITA KUPUMZISHWA IJUMAA
Na Shomari Binda-Musoma
MWILI wa aliyekuwa diwani wa Kata ya Mshikamano iliyopo manispaa ya Musoma,unatarajiwa kupumzishwa kwenye makazi yake ya milele ijumaa julai 14
Mwenyekiti wa...
TASAC YAFANYA SENSA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI NA SADC YA VYOMBO VIDOGO VYA MAJINI
Dar es salaam,
Na Emmanuel Kawau.
Shirika la Uwakala wa Meli Nchini (TASAC) lazindua ripoti ya sensa ya vyombo vidogo vya usafiri majini ambayo ni ya...
SERIKALI YAFURAHISHWA MAENDELEO KITUO CHA SAYANSI TANGA ‘PROJECT INSPIRE’
Na Boniface Gideon, TANGA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolph Mkenda ameonesha kufurahishwa na Maendeleo makubwa ya kuinua Sayansi mkoani Tanga baada ya...
MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KUWASILI TANGA JULAI 13, KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA
Na Boniface Gideon- TANGA
MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini Ujerumani wanatarajiwa kuwasili Mkoani Tanga Julai 13 mwaka huu ambao wanakuja kwa ajili ya kutoa huduma za...
WANANCHI ENDELEENI KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI ILI WAHARIFU WADHIBITIWE
Na Magrethy Katengu
Kamisha wa Jeshi la Polisi Suzan Kaganda amewashauri Wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kusaidia hali ya ulinzi na...
JK NA MKEWE WATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata...
TANZANIA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU 2030 UMOJA WA MATAIFA
Na Benny Mwaipaja, New YorkTanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, katika Jukwaa...













